Michezo

Majiji ya Paris na Los Angeles kuwania kuandaa Olimpiki 2024

Majiji ya Paris na Los Angeles yanawania nafasi ya kuwa wenyeji wa michuano ya Olimpiki na paralimpiki ya mwaka 2024.

Paris wameiambia kamati ya michezo hiyo kuwa wao wanavutiwa na kuandaa michezo ya mwaka 2024 tu na sio ile ya 2028.

Mmoja wa viongozi wa jiji la Paris, ameuambia mtandao wa The Guardian, “It is now or never. We will not come back for 2028. If the IOC can find a solution with Los Angeles, that’s great – but our project is only possible for 2024. It is not our job to find an agreement with Los Angeles,” he added. “The IOC leadership carries this responsibility.”

Ratiba ya kamati ya kimataifa ya Olimpiki inaonyesha itamtangaza mwenyeji wa michezo hiyo ya mwaka 2024, Septemba ya mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents