Mahakama ya ndizi warudi

mahakama_ya_ndizi2

Wafanyabiashara wa mitumba  ambao walivunjiwa vibanda vyao vya biashara katika maeneo ya Mahakama ya Ndizi Manispaa ya Kinondoni, ilikupisha upenuzi wa barabara ya Morogoro, wame haha na hatmaye, wamerudi tena kwenye sehemu zao na kuendelea kama zamani.Lakini mwisho wa siku watu wanaendelea na mikakati ya maisha kwa kufanya biashara huku wakiangalia juu ya hatma yao.

Wengi wao wamerudia zile zile sehemu ambazo walikuwepo mwanzoni, kwa kuamini zilibomolewa kimakosa, huku wengine wakisubiri kujua hatma ya Serikali ya mji ‘Manispaa’ nini itaamua juu ya mapendekezo yao ya kulipwa fidia.

 mahakama_ya_ndizi_yavunjwa

mahakama_ya_ndizi_3

mahakama_ya_ndizi4

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents