Burudani

Mafikizolo wazungumzia album yao ijayo na live DVD (Video)

Kundi la Mafikizolo linajiandaa kuachia album yake mpya, baada ya kukaa takriban miaka minne baada ya ile ya mwaka 2013, ReUnited. Album hiyo inaweza kutoka mwakani.

Mafikizolo wapo nchini kwaajili ya kutumbuiza kwenye show za uzinduzi wa huduma ya 4G ya mtandao wa Vodacom.

“Nadhani tulisubiri vya kutosha na sasa tuko tayari kufanya album mpya,” alisema Nhlanhla Nciza, mmoja wa member wa kundi hilo.

Aliongeza kuwa kitakachofuata baada ya hapo ni kuanza kurekodi live DVD ambayo watawaalika pia wasanii mbalimbali waliowashirikisha kwenye album yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents