Burudani

Madee kufunga mwaka na video mpya ya ‘Kindubwendumbwe’

Msanii wa Manzese, Madee amesema video yake ijayo itakuwa ni ya wimbo ‘Kindumbwedumbwe’ itakayoongozwa na Adam Juma.

Madee

Madee amesema hiyo ndio video itakayofunga mwaka.

“Tunafunga mwaka na video mpya ‘Kindumbwendumbe, ni wimbo fulani ambao unazungumzia hali fulani ya maisha yetu. Video nitafanya na Adam Juma kwa sababu nimefanya Kenya nimejitangaza kwa kiasi chake na sasa hivi ni zamu ya nyumbani chini ya director wetu Adam. Video itatoKa baada ya kumalizika haya mataMAsha ya Fiesta.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents