Habari

Maafisa mawasiliano serikalini kupimwa kiutendaji

By  | 

Serikali kupitia Idara ya Habari – Habari itaanza kuwawekea malengo na kuwapima kiutendaji maafisa mawasiliano wote serikalini kwa lengo la kuboresha utendaji wao katika utoaji wa habari na taarifa kwa umma.

Hii ni taarifa yake:

Na Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments