Michezo

Luis Suarez akabidhiwa kiatu chake cha Dhahabu

Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekabidhiwa kiatu cha Dhahabu (European Golden Shoe) kwa kuibuka mfungaji bora Barani Ulaya msimu wa 2015/2016.

398d869700000578-0-image-a-69_1476969347802
Luis Suarez holds his Golden Shoe award alongside daughter Delfina and son Benjamin

Suarez alifunga magoli 40 katika La Liga , na hivyo kumfanya achukue kiatu hicho kwa mara ya pili. Mara ya kwanza alichukua akiwa Liverpool msimu wa 2013/2014

Kiatu hicho hupewa mchezaji aliyefunga magoli mengi katika ligi kuliko mchezaji mwingine yoyote kwenye ligi kubwa barani Ulaya.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents