Burudani

Lil Wayne aanzisha kampuni ya usimamizi wa michezo na mteja wa kwanza ni Christiano Ronaldo

Rapper na mwanzilishi wa label ya Young Money Entertainment, Lil Wayne ameamua kuingia kwa miguu miwili kwenye michezo kwa kuanzisha kampuni ya usimamizi wa michezo.

Wayne and Ronaldo

Kwa mujibu wa TMZ, chanzo kimesema kampuni mpya ya Weezy tayari imeshapata mteja wa kwanza ambaye ni Christiano Ronaldo, ambayo itamsimamia shughuli zote za kimichezo kuanzia branding, endorsements, modeling hadi marketing kwa nchini Marekani.

kampuni mpya ya Weezy itakuwa ikifanya kazi na PolarisSports ambayo inauhusiano na CAA agency na GestiFute ambazo wakala wa Ronaldo Jorge Mendes anafanya nazo kazi.

Ronaldo Japan

Ronaldo amepost picha akiwa na waziri mkuu wa Japan na wanasiasa wengine wa Japan na wote wakionesha ishara ya YMCMB

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents