Burudani

Lifahamu jibu la Wakazi kama muziki unamlipa

Rapper Wakazi amedai kuwa ameanza kuona matunda ya muziki anaoufanya.

11820721_406511712874277_1890455342_n

Akizungumza jana kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio wakati akitambulisha wimbo yake mpya PMD, Wakazi alisema kwa sasa anaishi kutokana na matunda ya muziki wake.

“Show pamoja na kuuza nyimbo,” alisema. “Sasa hivi Mkito na Mdundo wanatusaidia na hilo ndio lengo kwa sababu asilimia kubwa tunafanya kazi tunazozipenda ila ikulipe pia. Unaweza kufika sehemu umepush na unachoomba upewe haupewi, hiyo inatokea kwa asilimia kubwa kwahiyo baada ya kulalamika ni kujiongeza.”

“Naishi kwa muziki tu,” aliongeza Wakazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents