Habari

Laveda wa BBA azitaja sifa za boyfriend amtakaye, akanusha kujichua mjengoni

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother Africa: Hotshots, Irene Laveda ambaye tayari amerejea Tanzania baada ya kutoka wiki chache zilizopita, amezitaja sifa za boyfriend amtakaye.

laveda 4

Akizungumza kwenye mahojiano na Global online TV, Laveda amezitaja sifa ambazo mwanaume anayeweza kuwa boyfriend wake anatakiwa awe nazo.

“Boyfriend nayetaka kwanza lazima ajitambue ajue anachokitaka, anisapoti mimi nachokifanya anielewe aielewe fani yangu, nikisema kunisapoti namaanisha emotionally, mentally nikiwa nafanya kitu aelewe, and also you know awe very, awe very [kicheko] yeah loving charming handsome [kicheko] loving charming handsome tall, [kicheko] tall handsome guy.”
Alisema Laveda

Katika hatua nyingine Laveda ametumia nafasi hiyo kukanusha kuhusu skendo ya kujichua kwenye shindano hilo.

“Sikuwahi kufanya mapenzi either na mimi mwenyewe (kujichua) wala na watu wengine. Manake kwanza hapa mnachoongelea ni kitu ambacho kimesikika ila hatujaona, sasa mimi niko hapa wiki ngapi sijui hizo video zinatafutwa, kama kweli sidhani kama Big Brother atazuia kuonesha hizo clips kama nchi inasisitiza no tunahitaji kuziona hizi clips huyu mwananchi wetu alienda kushiriki pale tutamdiscipline kama kweli alifanya whatever.

So until now hizo clips sijui ziko wapi mimi mwenyewe sijafanya so I don’t know what is going on, but it’s up to you mwisho wa siku you judge on something ulichokiona wewe mwenyewe…na kumbuka ni mashindano, wale waliokuwa wananiongelea kuhusu mimi ndani ya nyumba wanatoka nchi tofauti na walishaniona mimi ni tishio kutoka siku ya kwanza.”


Source: Global TV Online

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents