Burudani

Lamar kuanzisha TV show ya kuonesha uhalisia wakati wa kutengeneza kazi zake

Producer wa muziki nchini Lamar ameweka wazi mipango yake ya kuanzisha kipindi chake cha Televisheni cha uhalisia ambacho kitakuwa kinaonesha maisha yake hususan katika kazi zake za muziki.

Lamar-1

Akizungumza na Enewz ya Eatv TV, Lamar amesema kuwa kipindi hicho kina lengo la kuonesha ni jinsi gani anavyofanya kazi zake na pia namna anavyoshirikiana na wasanii wakubwa kutengeneza hits.

Pia Lamar amesema kuwa kipindi hicho kitaanza hivi karibuni na kitakuwa tofauti sana na vipindi vingine kutokana na kuwa na lengo kuonesha wapenzi wa muziki mchakato mzima wa kutengeneza muziki mzuri unavyokwenda.

Source: Enewz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents