Habari

Lady Jaydee kuachia ‘Sawa na Wao’ July 4

Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake Ndindidi, Lady Jaydee ametangaza tarehe ya kuachi kazi yake mpya.

image

Wimbo mpya wa muimbaji huyo nguli unajulikana kwa jina la ‘Sawa na Wao’ na utatoka Jumatatu ya July 4.

Wimbo huo unapatikana kwenye album yake ijayo iitwayo Woman.

Kwa sasa bado Jide anaendelea na ziara yake ya Naamka Tena ambapo siku ya Eid atatumbuiza jijini Arusha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents