Burudani

Kylie na Tyga wamwagana tena

Rapper Tyga na mpenzi wake Kylie Jenner, wameachana kwa mara nyingine tena. Hata hivyo kwa mujibu wa TMZ awamu hii huenda ikawa ndio nitolee.

Tyga-and-Kylie-Jenner

Vyanzo vilivyo karibu na mastaa hao vimeiambia TMZ kuwa kuachana kwao kumetokea siku chache kabla ya hafla ya Met Ball wiki iliyopita. Wote walikuwepo kwenye hafla hiyo lakini hawakwenda kwenye red carpet pamoja, na huo ulikuwa ni uamuzi wa Kylie.

Sababu ya kuachana haijulikani lakini TMZ imedai kuwa Tyga alimchukua mama yake pamoja na model mmoja kula chakula cha mchana Mother’s Day na Tyga hajawaambia washkaji zake kama huyo ni mpenzi wake mpya.

Wawili hao waliwahi kuachana kabla.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents