Burudani

Kylie Jenner na Tyga wamwagana tena

Rapper Tyga na mpenzi wake Kylie Jenner, wameachana kwa mara nyingine tena. Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa wakarudiana tena, kama kawaida yao.

Chanzo kimoja cha karibu kimeuambia mtandao wa People kuwa mara nyingi wawili hao wamekuwa na desturi ya kuachana kwa muda halafu wakarudiana tena.

“They tend to take little breaks all the time and then get back together. It’s definitely possible they’ll work things out again,” kimesema chanzo hiko.

Hii ni takribani mara ya tatu Tyga na Kylie wanaachana na kurudiana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents