Diamond Platnumz

Kwa Uingereza Alikiba ana mashabiki wengi kuliko Diamond – Promota

Promota wa muziki na filamu anayefanyia kazi nchini Uingereza, Hadija Seif maarufu kama Dida Fashion amesema wapenzi wa muziki nchini Uingereza wanampenda zaidi Alikiba kuliko Diamond.

Alikiba - Mwana Cover Done Mwana & Kimasomaso

Dida alisema hayo kwenye mahojiano na Bongo5 hivi karibuni. “Sio sasa hivi tu, tangu zamani to be honest kwa UK Alikiba yupo juu zaidi,” alisema.

Diamond

“Sijui kwanini lakini kwa watu wenyewe ukisema labda kati ya Alikiba na Diamond hapo nani aletwe, honestly watu wa UK yaani Alikiba sijui aliwafanya nini lakini Alikiba UK is the best,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents