Burudani

Kumbe ‘I Don’t’ ya Mariah Carey alimlenga James Parker!

Kumbe wimbo mpya wa Mariah Carey ‘I Don’t’ aliomshirikisha YG alimlenga ex wake bilionea James Parker!

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, kuwa gauni ambalo muimbaji huyo amelichoma moto kwenye video ya wimbo huo linathamani ya kiasi cha dola $250,000 ndilo ambalo alitakiwa kulivaa kwenye harusi yake na Parker.

Bilionea Parker aliamua kuachana na Carey mwezi Oktoba mwaka jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents