Burudani

Kumbe Dulla Makabila hakuwahi kufikiria kufanya Singeli!

Kumbe Dulla Makabila hakuwahi kufikiria kuingia kwenye Singeli!

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha On The Eight cha TVE Jumanne hii kuwa mwanzo alikuwa anapenda muziki wa Bongo Flava na ndio alikuwa akiuimba lakini Fella ndio aliyembadilisha. “Nilikuwa sana napenda Bongo Flava, nilikuwa pale Mkubwa na Wanae. Lakini baadaye mkubwa akaniambia kwanini Dulla usifanye Singeli?,” amesema Dulla.

Muwimbaji huyo kwa sasa anafanya vizuri kwenye redio na runinga na wimbo wake ‘Ujaulamba’ baada ya wimbo wake wa ‘Makabila’ kufanya vizuri pia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents