Burudani

Kumbe Bonang Matheba hakumzimia rapper AKA!

Je ni kweli rapper AKA alimpenda mpenzi wake aliyedumu naye kwa muda mrefu Bonang Matheba lakini yeye hakupendwa? Hilo ni swali ambalo kila mtu anajiuliza kwa sasa.

AKA ambaye Ijumaa hii alitangaza kupitia mtandao wa Twitter kumwagana na mpenzi wake huyo ambaye ni mtangazaji wa redio na TV ameonyesha sababu ya kuachana ni kutokana na kutopendwa na mrembo huyo.

Kupitia mtandao huo, rapper huyo amewasahuri wanaume kwa kuandika, “Guys, Don’t ever love a woman more than she loves you. ????.”

Japo mpaka sasa mashabiki wa couple hiyo wakisubiri kwa hamu kujua kama ni kweli au ni uongo, Bonang mpaka sasa hajazungumza chochote japo tayari alishatambulishwa kwa ndugu wa AKA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents