Burudani
Klear Kut watangaza kutoa album mpya mwakani
Kundi la hip hop la nchini Uganda, Klear Kut linatarajiwa kurejea tena na album mpya itakayotoka mwakani.
Album hiyo itaitwa ‘Beast African’. Kleat Kut huundwa na members watano ambao ni Navio, Papito, Abba Lang, JB, na Tha Mith.
“Klear Kut Entertainment is proud to announce that Klear Kut will be releasing their album in 2015,” ameandika Navio kwenye Facebook.
“The group that gave us cutting edge videos, the first album launches, the first Africa-wide urban single and more, will be dropping their album titled “Beast African” in the summer.”