Burudani

Kim Kardashian awachanganya mashabiki kwa picha zake mpya

Kim Kardashian ameibuka tena na picha za utata akiwa kwenye mapumziko ya muda (Vacation) nchini Mexico.

378D89A900000578-3757005-image-a-150_1472066341204

Ni muda kidogo mashabiki hawajafanikiwa kuziona picha zinazoonyesha mwili wa mke wa rapper Kanye West lakini sasa zimewafikia baada ya picha mpya za mrembo huyo kuonekana akiwa kwenye eneo la Casa Aramara Estate akicheza tennis na rafiki yake, Jasmine Sanders.

Mugabe

Ni takribani wiki moja sasa Kim yupo nchini Mexico huku akiendelea kupost picha za utatani. Kumbuka kuwa mrembo huyo ni mmoja kati ya mabingwa wa kupiga picha zinazowaonyesha miili yao. Tazama picha nyingine hapa chini za Kim alizopiga akiwa nchini Mexico.

378D899500000578-3757005-image-a-102_1472065008329

Banky W

378D89BD00000578-3757005-image-m-120_1472065247293

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents