Burudani

Kim Kardashian ampiku Justin Bieber kuwa na followers wengi zaidi Instagram baada ya fagio la akaunti fake kupita

Baada ya mtandao wa Instagram kufanya zoezi la kuzifuta akaunti fake Jumatano wiki hii, mwimbaji wa Canada, Justin Bieber alikuwa miongoni mwa mastaa walioathirika kwa kupoteza idadi ya followers milioni 3.5 na kumfanya apoteze sifa ya kuwa mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo.

USC Shoah Foundation's 20th Anniversary Gala - Reception

Kim Kardashian ambaye pia licha ya kupoteza followers milioni 1.5 kwenye zoezi hilo, lakini amempiku Bieber na kuwa ndiye mtu mwenye followers wengi zaidi katika mtandao huo kwa sasa.

Kwa sasa Kim Kardashian West ana followers 22,298,938, huku Justin Beiber akibaki na followers 20,336,350.

Related Articles

3 Comments

  1. Hi this is kinda of off topic but I was wondering if blogs use WYSIWYG editors or if you have to manually code with HTML. I’m starting a blog soon but have no coding experience so I wanted to get advice from someone with experience. Any help would be enormously appreciated!

  2. I would like to thnkx for the efforts you’ve put in writing this blog. I’m hoping the same high-grade blog post from you in the upcoming as well. Actually your creative writing abilities has inspired me to get my own blog now. Actually the blogging is spreading its wings fast. Your write up is a good example of it.

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents