Burudani

Kim Kardashian akosolewa kwa kumkata (crop) mwanae North kwenye picha!

Malikia wa Selfie, Kim Kardashian amejikuta akipokea madongo kwenye Twitter baada ya kumkata mwanae North kwenye picha.

B44Gpv_CUAApNQp

“Are you seriously that narcissistic and VAIN? You crop out your own child so everyone can focus more on you? Ick… Pathetic,” aliandika mmoja.

Mwingine aliandika: Just because you be looking all cute doesn’t mean you gotta crop your daughter out of the picture.”

Baada ya kuona hivyo, Kim alitweet:

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents