Burudani

Kim Kardashian akataa kupiga picha na mpenzi wa Chris Brown, Karrueche Tran

Mtandao wa RadarOnline.com umedai kuwa Kim Kardashian amemzingua mpenzi wake Chris Brown, Karruache Tran baada ya kumuomba wapige picha kwenye tukio moja la hivi karibuni.

kim-kardashian4

Karrueche Tran, 26, alimuomba mke huyo wa Kanye West wapige picha ya pamoja na wapenzi wao kwenye listening party ya album ya Teyana Taylor huko Hollywood wiki hii. Chanzo kimeuambia mtandao huo kuwa Kim alikataa.

Hata hivyo baada ya Brown, 25, kumuomba Kanye West, 37, ruhusa ya kupiga picha, rapper huyo alikubali kwa roho moja na hivyo kumfanya Kim asiwe na jinsi zaidi kukubali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents