Burudani

Kim Kardashian afurahishwa na maandamano ya kumpinga Trump

Wakati kanye West akionekana kuwa upande wa Donald Trump tangu aliposhinda uchaguzi wa Marekani Novemba mwaka jana, mkewe Kim Kardashian ameonekana kuwa upande tofauti kwa kuyaunga mkono maandamano yaliyofanywa Jumamosi hii kuupinga Urais wake.

Mwezi Disemba, Kanye alifanikiwa kukutana na Trump na kufanya naye mazungumzo kitendo ambacho kiliwakera watu wengi duniani. Kupitia mtandao wa Instgaram, Kim ameweka picha hiyo hapo chini na kuandika ujumbe unaoonekana kumfurahisha kutokana na maandamano hayo.

“So proud of the women & men who stood up for what is right & are determined to make this world a better place for our children. Here’s to strong women. May we know them. May we be them. May we raise them,” ameandika katika picha hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents