Burudani

Kim Kardashian adai hakuiona video ya ‘Famous’ kabla haijatoka

Kim Kardashian amesema kuwa hakuiona video ya mwisho iliyokuwa tayari (final editing) ya wimbo wa ‘Famous’ wa Kanye West.

kanye-west-kim-kardashian-famous-video

Wimbo huo uliotoka mapema wiki hii umeshika vichwa vya habari kutokana na kuonyesha baadhi ya watu maarufu wakiwa watupu huku wakiwa wamelala pamoja.

Akiongea na WWD, Kardashian amesema, “I actually never saw the final edit of it. I did that kind of on purpose because I love to be surprised. It was, like, three, four months in the making, so I obviously knew it was going on, but I didn’t actually see the final cut until he debuted it at the Forum. It was really cool.”

Hata hivyo baadhi ya watu walionekana kwenye video hiyo akiwemo Chris Brown, kupitia akaunti yake ya instagram aliandika, “Why I gotta have the plumbers butt/ crack showing WAX figure?????????????????. This nigga KANYE CRAZY, talented, but crazy ????????????????.”

Naye Ray J ambaye ameonekana kwenye video hiyo lakini pia aliwahi kuwa na mahusiano na Kim Kardashian mwaka 2007 na kuvujisha mkana wao wa ngono alisema, “I’m just trying to stay positive, I’m engaged.”

Wimbo wa ‘Famous’ ambao upo kwenye albamu ya Kanye West ‘Life Of Pablo’ imetoa maneno makali kwa baadhi ya mastaa akiwemo Taylor Swift, Kanye West amerap, “feel like me and Taylor might still have sex / Why? / I made that bitch famous.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents