Burudani
Kikosi cha Mizinga kufanya show ya ‘Hip Hop Is Alive’ 27 April, Maisha Club
Kikosi cha Mizinga wakiongozwa na Kalapina watakuwa na show yao ya Hip Hop is Alive tarehe 27 April itakayofanyika kwenye ukumbi wa Maisha Club. Kikosi watasindikizwa na Nyandu Tozi, Tabla, Mapacha, Nash MC, Q Chilla, Linex, Montel, Kimbunga na wengine.