Tragedy

Ni mwaka mmoja tangu Bi Kidude afariki dunia

Leo April 17, kifo cha aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Taarab nchini, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude kimetiza mwaka mmoja.

Kidude

Bi. Kidude alifariki kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya sukari na uvimbe kwenye kongosho.

“Kwa ufupi alilazwa kipindi kirefu na baadaye akatolewa, lakini baadaye akaja kuendelea kuumwa tena tukampeleka hospitali tukawa tunampeleka kwenda na kurudi hapa juzi akaanza kuzidiwa tena tukampeleka hospitali moja inaitwa Keeni (???) Kwaajili ya matibabu zaidi na drip na vitu vingine lakini baadaye baada ya siku ya tatu mwenyezi Mungu akachukua roho yake,” mjukuu wa Bi Kidude aitwae Omar aliambia Bongo5 siku kama ya leo mwaka jana.

Mazishi ya Bi. Kidude yalifanyika Zanzibar na kuongozwa na Rais Jakaya Kikwete.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents