BurudaniVideos

Kidum atoa video ya wimbo wake wa Gospel ‘Mungu Anaweza’ (Video)

Msanii wa Burundi aishiye Kenya ametoa video ya wimbo wake wa Gospel uitwao ‘Mungu Anaweza’ ikiwa ni mwezi mmoja toka atangaze kuwa anaumwa na anahitaji kufanyiwa upasuaji.

http://youtu.be/6qSpTuXmUFI

Hata hivyo wimbo huu sio mpya, ulitoka takribani miaka miwili iliyopita lakini video ndio imefanywa hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya.

Kidumu amejitengenezea umaarufu katika nchi za Afrika Mashariki na hits zake ikiwemo ‘Sirudi Nyuma’ aliomshirikisha Juliana Kanyomozi wa Uganda, Kamata mwizi na zingine

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents