Burudani

‘Kiboko Yangu’ ya FA yasababisha mtandao kushindwa kuhimili wingi wa downloads

Sio kila msanii anaweza kusababisha website ya muziki ishindwe kufanya kazi kutokana na wingi wa downloads. Lakini ‘Kiboko Yangu’ ya Mwana FA aliyomshirikisha Alikiba, jana imesababisha mkito.com izidiwe nguvu na hivyo kupotea hewani kwa muda.

10727698_1482757231991417_1947116684_n

“Doooooh……samahani jamani…mkito.com watarudi ndani ya nusu saa…poleni kwa usumbufu..im feelin the love,” aliandika FA kwenye Instagram.

Hali kama hiyo iliwahi kutokea pia wakati Alikiba alipoachia ngoma zake mbili ‘Mwana’ na ‘Kimasomaso’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents