Burudani

Khloe Kardashian asimulia aibu waliyopata kusikia sauti za mama yao akila uroda na kijana mwenye umri sawa na wao!

Kris Jenner, mama wa Kim na Khloe Kardashian hana hata mshipa wa aibu mbele ya wanae na ndio maana haoni hatari kula uroda na Serengeti boy wake wakati wanae wakisikia sauti za raha zao.

Khloe-Kardashian-Complex-Magazine-August-September-2015-1
Khloe Kardashian kwenye kava la jarida la Complex

Akiongea kwenye jarida la Complex, Khloe amesimulia tukio hilo la aibu lililotokea nyumbani kwa mama yao aliyekuwa akila uroda na mpenzi wake Corey Gamble.

Staa huyo wa ‘Keeping Up with the Kardashians’ na dada yake Kim Kardashian West walienda kwenye nyumba ya mama yao huyo mwenye miaka 57, Kris na kumkuta akiwa kwenye ulimwengu wa mahaba na mpenzi wake huyo mwenye miaka 34.

“Kuwasikia wakifanya mapenzi ni kitu cha ajabu na niliathirika. Mimi na Kim tulijisikia vibaya.” “Kwenye nyumba yake, asante Mungu. Tulikuwa chini na tulisikia kama makofi. Ni kitu kinachoshtua sana.”

“We were hitting each other like, ‘NO!’ Kim was like, ‘Wait, shh.’ And then it was dead silent and then they went again for round two.”

Tazama picha zingine za Khloe kwenye jarida hilo.

Khloe-Kardashian-Complex-Magazine-August-September-2015-2

Khloe-Kardashian-Complex-Magazine-August-September-2015-8

Khloe-Kardashian-Complex-Magazine-August-September-2015-3

Khloe-Kardashian-Complex-Magazine-August-September-2015-4

Khloe-Kardashian-Complex-Magazine-August-September-2015-5

Khloe-Kardashian-Complex-Magazine-August-September-2015-6

Khloe-Kardashian-Complex-Magazine-August-September-2015-7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents