Burudani

Khloe Kardashian ajibu kauli ya boyfriend wake French Montana kuwa anautumia umaarufu wake kwa faida, ‘I Just Don’t Care’

Baada ya rapper French Montana kusema anautumia umaarufu wa mpenzi wake Khloe Kardashian kwa faida, mashabiki wa reality show ya familia maarufu ya Kardashian ‘KUWTK’, walim‘maindi’ Montana kwa kauli hiyo aliyoitoa kwenye mahojiano na jarida la Billboard.

Montana

“I want to capitalize on it,” Hii ndio kauli aliyoitoa Montana. “I’ll get a fan base from everywhere. I just hope I’ll be able to connect with everything that’s going on.”

Khloe alitweet kuwa wasidhani haioni, sababu yeye ni mtu wakwanza kuiona (interview) na hajali.

“It’s amusing to me that Y’all think I don’t see it. I was the first one to see it. I just don’t care.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents