Burudani

Khaligraph wa Kenya na Young Killer kuachia kolabo yao

Msanii wa muziki wa hip hop nchini Young Killer Msodoki pamoja na Khaligraph wa Kenya wanajipanga kuachia kolabo yao hivi karibuni baada ya kazi hiyo kukamilika.

Rapper huyo ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Sinaga Swaga’ wiki hii, amedai muda wowote kuanzia sasa kolabo hiyo inaweza kutoka.

“Nataman sana muda ufike East Africs muweze kusikia wimbo niliofanya na huyu brother Khaligraph na ndo kolabo bora kabisa itayotoka hivi karibunni. Inshaallah,” aliandika Young Killer kupitia instagram yake.

Mwaka uliopita rapa huyo aliahidi kuachia kolabo nyingi za kimataifa ndani ya mwaka 2017.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents