Burudani

Khaligraph apanga tour ya Tanzania, atatumia muda huo kufanya collabo na Young Killer

Rapper wa Kenya, Khaligraph Jones amesema amepanga kufanya ziara nchini Tanzania kwaajili ya kujitangaza na kufanya collabo.

13320038_1006675426075843_474242677_n

Amesema ataitumia nafasi hiyo kurekodi ngoma yake na Young Killer – rapper anayemkubali sana kutoka Bongo.

Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, rapper huyo amesema tayari wamekuwa wakizungumza na Msodoki kwenye WhatsApp na uwezekano wa kufanyika ngoma hiyo ni mkubwa.

“I think there is a possibility of that a collabo [with Young Killer] might be coming soon cause I am planning to tour Tanzania and I am looking forward to work with the guy cause I believe is one of the best rappers not only Tanzania but East Africa, so definitely I am also hoping for the same hii kazi ifanyike na ikifanyika itakuwa noma sana,” alisema Khaligraph.

Khaligraph ni mmoja wa rappers wa Kenya wanaoheshima zaidi kwa sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents