Burudani

Kesi yazuia ziara ya Justin Bieber nchini Argentina

Justin Bieber amewaambia mashabiki wake hata kuwa na tour ya nchini Argentina.

Coll-Justin-Bieber-2013-Wallpaper-HD-Free.png

Mwaka 2013 Bieber alifungiwa kuingia nchini Argentina kutokana na kesi ya shambulio inayomkabili wakati wa ziara yake kwenye nchi hiyo.

Kupitia akaunti ya Twitter, Bieber aliandika: “’Argentinian beliebers I would like nothing more than to bring the #purposetour there but until the legal conditions change there I can’t.”

russian-mega-yacht-a--st-lucia-chester-williams

Kwa sasa Bieber anafikiria kupanua ziara zake kwenye nchi za Japan, Amerika Kusini na Australia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents