Burudani

Keri Hilson afunguka kuhusu albamu yake mpya, L.I.A.R

Keri Hilson amefunguka kuhusu albamu yake mpya Love Is a Religion (L.I.A.R) ambayo inatarajiwa kutoka mwezi Februari mwaka huu.

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha THE REAL, “There are so many similarities between religion and love. If we believe this will work, then we will do what it takes and we will be obedient. We’ll do what it takes to make it work. It’s religious. You gotta be that committed to making love work.”

Aida muimbaji huyo ameongeza kuwa ripoti iliyotolewa awali kuwa albamu hiyo ingetoka mwezi Machi mwaka jana haikuwa na ukweli wowote. Albamu ya L.I.A.R imewakutanisha mastaa kadhaa akiwemo Chris Brown, Polow Da Don, Timbaland, Danja na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents