Habari

Kenya na Tanzania zaingia kwenye Tweef kali (beef ya Twitter) sababu ni hii…

Kenya na Tanzania zimeingia kwenye vita vya maneno kupitia mtandao wa Twitter baada ya Tanzania kuwafukuza walimu wa Kenya na Uganda kutokana na sababu za uhamiaji.

http://www.youtube.com/watch?v=WzGEtOyGspI

Kituo cha runinga cha NTV cha Kenya kimeweka taarifa ya video kwenye Youtube iliyopewa jina ‘Kenyans getting chased from Tanzania’ na kuandika: Following the crackdown on immigrants in Tanzania that saw several Kenyan and Ugandan teachers expelled from the country, the Department of Labour has raised a complaint with the Ministry of East African Affairs seeking resolution on the matter. Kenya has held generally amicable relations with its southern neighbor, albeit likened to sibling rivalry at times. However, Tanzania’s recent actions could have stirred up another diplomatic row.

Hatua hiyo imesababisha wakenya kuanzisha mashambulizi kwa kutumia hashtag #SomeoneTellTanzania kwenye Twitter na Tanzania kujibu kwa hashtag, #SomeoneTellKenya,

Miongoni mwa tweets za wakenya kwenye hashtag hiyo ni pamoja na:

#SomeonetellTanzania husein machozi alienda kulilia wapi…!

#SomeoneTellTanzania Madem wao lightskin ni broiler

#SomeOneTellTanzania Ngoma za Munishi zilikwara kuingia fomart ya CD.

Guys please don’t tweef with Tz,that #SomeoneTellTanzania isn’t funny. They barely finished translating The Bible,Twitter wataelewa kweli?”

#SomeoneTellTanzania the only long distance race they ever won is when they’re queuing for elections .. No??

#SomeoneTellTanzania madem wao huwa wanamoan “ooh kristo…naja naja…ingiza ndani zaidi…zaidi…ooh””

#SomeoneTellTanzania that iyo Kuku ilipanda baiskeli kwa wimbo ya Mr.Nice iliolewa huko Nyeri

#SomeoneTellTanzania I wonder how they hold conferences when swahili is the only language they can speak

#SomeoneTellTanzania their own nba star comes to hangout in kenya on holiday break! Hasheem

#SomeoneTellTanzania even their best Diamond was made in Kenya

#SomeoneTellTanzania We use their movies to get information out of terrorists by forcing the terrorists to watch them.

Tweet za Tanzania zenye hashtag yao #SomeoneTellKenya ni kama:

#SomeoneTellKenya ni Bingwa wa mbio ndefu coz most of Kenyans are illegal immigrants most of their lives they been chased out.

#SomeoneTellKenya Tzn women wear weaves to enhance beauty, Kenyan women wear weaves to confirm their gender

#someonetellkenya Barrack Obama’s Grandfather is the Most Successful Kenyan Athlete. He Ran Away from Starvation!!

#SomeoneTellKenya Tz got lamborghini murcielago n Bugatti even prezzo hawez Kuafford hiyo!

#someoneTellKenya,wana d*ck ndogo ndio maana wanawabaka kuku

#SomeoneTellKenya uhuru ni zao la hisani za Nyerere, kenya-ta was cheated by his wife, now u are ruled by #MtotoWaHaram

A group of Kenyans is a forest. #someonetellkenya

#SomeoneTellKenya kwamba Avril aliomba atokee kwenye Video ya Diamond

#SomeoneTellKenya Since Uhuru and Ruto are president and deputy president respectively, the anthem should begin with KONVICT MUSIC

#SomeOneTellKenya Tuna barabara nyingi,nyingine tumempa Mwai Kibaki..!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents