Michezo

Kaseja apata shavu la ukocha wa makipa Serengeti Boys

Kipa wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania na vilabu vya Simba na Yanga, Juma Kaseja ameteuliwa kuwa kocha wa makipa wa kikosi cha vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys.

kaseja2

Kaseja anaungana na kikosi hicho ambacho kinasafiri kwenda kambini Madagascar kupitia Afrika Kusini. Kaseja amechukua nafasi ya kocha wa makipa aliyekuwepo awali ambaye anabaki nchini kwa ajili ya kushiriki kozi za ukocha.

Kipa huyo alikuwa katika mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya na Mbeya City.

Source: Salehjembe

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents