Burudani

Kanye West huenda akaacha muziki kwaajili ya fashion

Kanye West anadaiwa kuwa na mipango ya kutaka kuacha muziki na kugeukia masuala ya fashion.

KimKanye1

Rapper na producer huyo anataka kujiweka mbali na studio ili awe na muda wa kufanyia kazi ndoto zake za kuwa na kampuni ya nguo.

Chanzo kimoja kimeiambia safu ya Page Six ya gazeti la New York Post kuwa rapper huyo ana mkataba wa ziada wa dola milioni 15 na Adidas.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents