Burudani

Kanye West: Baba yangu alikuwa paparazzi pia

Baba yake na Kanye West alikuwa paparazzi, kwa mujibu wa TMZ.

image

Kanye anafahamika kwa kuwa na uhusiano mbaya na mapaparazzi na amewahi kutwangana na mmoja wao. 

Rapper huyo kutoka Chicago aliweka wazi ukweli huo kuhusu baba yake katika mazungumzo na wakili wa Daniel Ramos, paparazzi aliyemtwanga July 2013 kwenye uwanja wa ndele Los Angeles.

West anadaiwa kumwambia wakili huyo kuwa wazazi wake hawakumlea kupigana na paparazzi mbele ya LAX.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents