Burudani

Kanye West atumia shilingi milioni 125 kumnunuliaa mwanae zawadi za Christmas

Kanye West anadaiwa kutumia $74,000 (zaidi ya shilingi milioni 125) kumnunulia mwanae North zawadi Christmas.

2426DD8A00000578-2879981-image-m-41_1418951496324

Chanzo kimoja kimeliambia jarida la Heat kuwa Kanye alitumia $62,000 kununua tiara (crown) iliyozungushiwa almas pamoja na mdoli wa gari inayofanana na SUV yake alioununua kwa $12,000.

Chanzo kingine kimedai kuwa Kanye amepanga kumfanyia mke wake Kim surprise ya nguvu.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents