Burudani
Kanye West amuandikia ujumbe mtamu wa birthday mkewe Kim Kardashian
October 21 Kim Kardashian West amesheherekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 34.
Staa huyo wa Keeping Up With The Kardashians ambaye ni mama wa mtoto mmoja (North West) amepokea pongezi nyingi ikiwemo ya mume wake rapper Kanye West, ulioambatana na maneno matamu.