Burudani

Kanye West alipoteza kumbukumbu kwa mujibu wa mtu wake wa karibu

Kuugua na kulazwa kwa Kanye West mwishoni mwa mwaka jana kulikuwa si kwa kawaida.

Rapper huyo alipoteza kumbukumbu nyingi na sasa kwa mujibu wa rafiki yake zimeanza kurudi pole pole. Yeezy alilazwa hospitali kwa siku nane.

Rafiki yake Malik Yusef alihudhuria tuzo hizo kwa niaba ya Yeezy ambaye album yake The Life of Pablo, ilikuwa imetajwa pia kuwania.

“His memory is coming back, which is super good. He’s healing,” aliiambia Pop Suger.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents