Burudani
Kanye West akiwasha tena kwenye Twitter, adai Bill Cosby hana hatia, aponda deal ya Puma na shemeji yake Kylie
Kanye West ameporopoka tena kwenye Twitter.
Awamu hii amekuja na mapya. Anadai kuwa Bill Cosby hana hatia.
BILL COSBY INNOCENT !!!!!!!!!!
— KANYE WEST (@kanyewest) February 9, 2016
Muigizaji na mchekeshaji huyo mkongwe anakabiliwa na makosa mbalimbali ya unyanyasaji wa kimapenzi.
Katika hatua nyingine Kanye amewakalia shingoni Puma waliompa deal la mamilioni shemeji yake Kylie. Amedai kuwa Kylie yupo upande wa Yeezy uliochini ya adidas.
1000% there will never be a Kylie Puma anything. That's on my family! 1000% Kylie is on Yeezy team!!!
— KANYE WEST (@kanyewest) February 9, 2016
Puma we gone give you your measly million dollars back!!! Never try to divide the family!!!
— KANYE WEST (@kanyewest) February 9, 2016