Burudani

Kanye West aichelewesha ndege kuondoka, agoma kuomba radhi!

Kanye West ndiye aliyesababisha ndege iliyokuwa inatoka Paris kwenda Helskini kuchelewa kuondoka.

wpid-kanye-west-655x435.jpg

Supastaa huyo alikuwa anasafiri kutoka Paris, Ufaransa kwenda Helsinki, Finland jana asubuhi na pamoja na kupanda kwenye ndege hiyo kwa kuchelewa aligoma kuomba radhi kwa kuwachomesha mahindi abiria wengine.

Rapper huyo alipoingia ndani ya ndege hiyo na kukaa kwenye siti alikataa pia kupigwa picha na wanandoa wa Ulaya waliokuwa humo.

Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la New York Post kuwa Kanye alikuwa akiongea kwa ishara bila kutoa sauti.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents