Habari

Kanye West aahidi kutozungumza ubaya juu ya mtu yeyote mwakani (2014) kwa miezi sita

Mume mtarajiwa wa Kim Kardashian na baba wa North, rapper Kanye West ametoa ahadi ya kutozungumza vitu negative kuhusu mtu yeyote angalau kwa miezi sita kuanzia sasa.

kw

‘This might be the last time y’all hear me talk s*** for a long time. Might be another like six months. At least. You’re just gonna have to run back the interviews and sh*t if you wanna hear some realness!’ Alisema Kanye.

Licha ya yeye kuwa miongoni mwa mastaa wanaozungumziwa vibaya mara kwa mara hususan kwenye mitandao kutokana na maisha yao controversial, Kanye ametoa ahadi ya kutomzungumza vitu negative kwa mtu yeyote angalau kwa miezi sita mwakani ili kujiepusha na matatizo.

“So I’m letting you all now that this is the last Yeezus show, and this is the last time you’ll ever hear me say negative about anyone.” Alisisitiza Yeezy.

Ameongeza kuwa kikubwa atakachokifanya 2014 ni kutafuta mawazo mapya na vitu vya kibunifu zaidi.

“I told y’all, save those tapes and everything because I’ve decided to completely focus everything in 2014, on new ideas and on creative outlets. I’m not [going to] ever bring up Nike again, and the only way I’ll bring them up is in a positive light.”

Kanye alitoa ahadi hiyo Jumatatu wiki hii mbele ya umati wa watu waliofurika katika show yake ya mwisho ya ‘Yeezuz Tour’ huko Toronto, Canada.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents