Bongo Movie
Kanumba akomba tuzo mbili Mini ZIFF Red capert
Wasanii wa filamu jana walikutana pale New Maisha Club katika kuchukua tuzo zao za tamasha Dogo la Filamu Zanzibar Mini ZIFF lililofanyika pale jana, wasanii mbalimbali walitwaa tuzo hizo hizo akiwemo kanumba ambayo alichukua tuzo mbili.