Diamond Platnumz

‘Kamwambie’ ya Diamond yahit upya Nigeria, blog zote zaipost, zingine zaitambulisha kama ngoma mpya

Huwezi kuamini hili, lakini blog za Nigeria zimedata na ngoma iliyomtambulisha Diamond miaka minne iliyopita, Kamwambie.

Haijulikani ni vipi wimbo huo jana umeonekana kuwa dhahabu kwenye blog za Nigeria, lakini kinachovutia ni kuwa blog zote kubwa na ndogo zimeupost wimbo huo.

Baadhi ya blog hizo zinadhani huo ni wimbo wake mpya, lakini zingine zinafahamu kuwa ni wimbo wake wa zamani lakini zimeupenda tu na kuamua kuuweka kwakuwa wengi hawaufahamu huko.

Hivi ni baadhi ya blogs za Nigeria zilizouweka wimbo huo na jinsi zilivyoutambulisha:

Jaguda: Fast rising Tanzania superstar singer Diamond Platinumz shares new single to kick off the year 2015. He titles this Kamwambie. Enjoy

Naijabeatzone.com: This song was long released, but until now it got to our notice. We decided to pull it through as one of our throwback for this week after pulling through “Twerk It” by Project pat featuring Ty Dolla $ign, Wiz Khalifa and Wale.

This one on our throwback list for the week is from the Bongo Flava Singer and Tanzanian Hitmaker, Diamond Platnumz. He titled this one “Kamwambie.” The visual for this track has already been shot and released back in November 2014. The video was directed by Adam Juma while Bob Junior produced the song.

sirkenayo.com: Tanzania superstar singer Diamond Platinumz is out with a brand new single he title Kamwambie. A great song, download and share your thoughts.

36ng.com: This 2013 release by Tanzanian star Diamond Platnumz is currently making buzz on Naija Kamwambie.

http://gidipoint.com: Tanzania superstar singer Diamond Platinumz is out with a brand new single he title Kamwambie. A great song, download and share your thoughts.

Blog zingine zilizouweka ni pamoja na:

tooXclusive


http://9jabaze.com/
http://uncova.com/
naijabridge.com
http://talkmuzik.com/
http://suruleretv.com/
www.mp3naija
http://tayotv.net/
http://naijaexclusive.net/
http://www.naijafreshout.com/
http://www.nigeriatell.com/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents