BurudaniWema Sepetu

Kadinda adai Wema atafanya kitu kikubwa mwishoni mwa mwaka

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema kuwa anatambua kuwa muigizaji huyo hajafanya kitu kikubwa mwaka huu kutoka kwenye kampuni yake ya Endless Fame Films, lakini amewataka watanzania kukaa mkao wa kula mwishoni mwa mwaka huu.

wemaa na kadinda

Martin ameiambia Bongo5 leo kuwa kkuna jambo kubwa ambalo Wema atafunga nalo mwaka huu.

“Kuna vitu vingi ambavyo Wema anavifanya, so far show inarudi mwezi September ‘In My Shoes’ , something big Wema anafanya mwisho wa mwaka huu,” amesema Kadinda.

“Kweli Wema hajafanya vitu karibuni lakini watu wasubiri mambo makubwa, hajaamua tu kukiweka kwenye media, mpaka vitu vinavyotakiwa vikishawekwa sawa.Sometime huwezi kuongea jambo ambalo hata halijafikia asilimia 50 ya jambo. Endless Film ipo na kuna jambo ambalo kama kampuni Wema anatakiwa afungenalo mwaka ambalo is something big, kwahiyo watu wasubirie wataona nini Wema amekifanya, ” Martin ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents