Michezo

Juventus ya toa ruhusa Paul Pogba kufanyiwa vipimo Man United

Klabu ya Juventus imetoa ruhusa kwa kiungo Paul Pogba kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha usajili wake kujiunga na Manchester United.

Pogba-Chelsea-gossip-584530

Pogba, 23, amekuwa akihusishwa na kuhamia Old Trafford kwa bei ya kuvunja rekodi ya dunia ya ununuzi wa wachezaji ya pauni milioni moja.

Meneja wa United Jose Mourinho alikuwa amedokeza kwamba klabu hiyo ilikuwa imekaribia sana kumpata Pogba.

Kuanzia saivi Pogba anaweza kutangazawa kama mchezaji wa Manchester United.

Tovuti ya Man United imeandika ujumbe huu
as

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents