Burudani

Juu ya Vanessa Mdee na Jux yafikisha views milioni 1 Youtube

Video ya wimbo wa Vanessa na Mdee na jux ‘Juu’ imefanikiwa kufikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube.

Kupitia mtandao wa Instagram, Vanessa amewashukuru mashabiki wao kwa kuandika, “asanteni sana kwa kutufikisha kwenye views millioni mmoja. Na bado tunaenda #Juu.”

Mpaka sasa ni siku 43 zimepita tangu video hiyo ilipowekwa kwenye mtandao huo mwezi Disemba mwaka jana imefanikiwa kutazamwa mara 1,010,967.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents