Burudani

Justin Timberlake na John Legend kutumbuiza kwenye tuzo za Oscar

By  | 

Justin Timberlake na John Legend wametajwa kutumbuiza kwenye tuzo za 89 za Oscar mwaka huu.

Wasanii wengine ambao wanatarajiwa kuwasha moto kwenye jukwaa hilo ni pamoja na Lin-Manuel Miranda na Sting. Tuzo hizo zina vipengele 24 ambazo wasanii mbalimbali wakiwemo wa muziki na filamu wanaziwania.

Wakati huo huo mchekeshaji Jimmy Kimmel anatarajiwa kuwa host wa tuzo hizo zitakazotolewa Jumapili ya Februari 26 mwaka huu katika ukumbi wa Dolby Theatre, Hollywood nchini Marekani.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments